1060 Waitwa kwenye Usaili INEC Bukoba Vijijini July 18-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
1060 Waitwa kwenye Usaili INEC Bukoba Vijijini July 18-2024
1060 Waitwa kwenye Usaili INEC Bukoba Vijijini July 18-2024,Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bukoba Vijijini anapenda kuwatangazia walioomba kazi ya Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 22.07.2024 katika ukumbi wa Chuo cha Cardinal Rugambwa Memorial College (CARUMCO) kuanzia saa 1:30 Asubuhi.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Kila Msailiwa anatakiwa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambulisho. Vitambulisho vinavyokubalika ni:- Kitambulisho cha Mfanyakazi, Mpiga kura, Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti halisi vya kitaaluma kadri walivyojieleza wakati wa kuomba ajira ya muda.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula na usafiri.
Orodha ya waombaji watakaosailiwa imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA BUKOBA VIJIJINI
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 1060 Waitwa kwenye Usaili INEC Bukoba Vijijini July 18-2024