1227 Waitwa Kwenye Usaili INEC Mwanza Jiji August 02-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
1227 Waitwa Kwenye Usaili INEC Mwanza Jiji August 02-2024
1227 Waitwa Kwenye Usaili INEC Mwanza Jiji August 02-2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nyamagana anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 05 Agosti, 2024 katika Chuo cha Mt Agustino (SAUT) – Malimbe (Wing 14 na 15) kuanzia saa 2:00 Asubuhi Siku ya Jumatatu.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika tarehe 05 Agosti, 2024 katika Chuo cha Mt Agustino (SAUT) Kuanzia 2:00 Asubuhi.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Mtaa.
- Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili. - Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA NYAMAGANA AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 1227 Waitwa Kwenye Usaili INEC Mwanza Jiji August 02-2024