20 Waitwa Twiga Stars vs Tunisia na Botswana July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
20 Waitwa Twiga Stars vs Tunisia na Botswana July 2024
20 Waitwa Twiga Stars vs Tunisia na Botswana July 2024, Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Bakari Nyundo Shime ameita Wachezaji 20 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake, (Twiga Stars) kwaajili ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana mapema mwezi July 2024.
Katika kikosi hicho kitakachoingia kambini Julai 1 hakuna hata mchezaji mmoja wa Yanga Princess, huku mabingwa Simba Queens wakiwa na wachezaji wawili pekee.
JKT Queens imeendelea kuwa klabu yenye wachezaji wengi zaidi Twiga Stars, saba huku wengine wakitoka Alliance Girls, Bunda Queens na Amani Queens mmoja kila timu, wakati wengine ni wanaocheza klabu mbalimbali nje ya Tanzania.
Kikosi Kamili cha Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kitakachoingia kambini Julai 1, 2024 kwaajili ya michezo ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana.
1:Najat Abasi – JKT Queens.
2:Asha Mrisho – Amani Queens.
3:Lidyia Maxmilian – JKT Queens.
4:Protasia Mbunda – Fountain Gate Princess.
5:Enekia Kasonga – Eastern Flames, Saudi Arabia.
6:Juleta Singano – Juare, Mexico.
7:Vaileth Mwamakamba – Simba Queens.
8:Anastasia Katunzi – JKT Queens.
9:Joyce Lema – JKT Queens.
10:Janeth Christopher – JKT Queens.
11:Ester Maseke – Bunda Queens.
12:Diana Lucas – Ame S.F.K, Uturuki.
13:Aisha Juma – Simba Queens.
14:Stumai Athuman – JKT Queens.
15:Winifrida Gerald – JKT Queens.
16:Maimuna Kaimu – ZED FC, Misri.
17:Elizabeth Charles – Alliance Girls.
18:Aisha Masaka – BK Hacken, Sweden.
19:Oppa Clement – Besiktas, Uturuki.
20:Clara Luvanga – Al Nasr FC, Saudi Arabia.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 20 Waitwa Twiga Stars vs Tunisia na Botswana July 2024