KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

21 Waitwa Tanzania vs Sudan Mechi za Kirafiki

Filed in Michezo by on 07/05/2024 0 Comments

21 Waitwa Tanzania vs Sudan Mechi za Kirafiki

21 Waitwa Tanzania vs Sudan Mechi za Kirafiki

21 Waitwa Tanzania vs Sudan Mechi za Kirafiki

21 Waitwa Tanzania vs Sudan Mechi za Kirafiki,Kocha Mkuu wa Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameteua kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya taifa ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoondoka kesho Jumatano Mei 8, 2024 kuelekea Saudi Arabia kwa michezo miwili ya Kirafiki na Sudan.

KIKOSI Kamili Cha Tanzania Kinachoifuata Sudan huko Saudi Arabia

MAKIPA
1:Ally Salim Khatoro – Simba SC
2:Ahmed Ali Suleiman – Uhamiaji FC
3:Abrahman Vuai Nassoro – Azam FC, FIFA TDS

MABEKI
4:Mukrimu Issa Abdallah – Ihefu SC
5:Alphonce Mabula Msanga – RFK Novi Saidi, Serbia
6:Miano Danilo Van Den Bos – Alcante, Hispania
7:Gadile Michael Kamagi – Cape Town Spurs, South Africa
8:Abdulmarick Adam Zachari – Namungo FC
9:Baraka Shabaan Mtuwi – Mashujaa FC
10:Abdulrahim Seif Bausi – Uhamiaji FC

VIUNGO
11:Mohammed Ali Sagaf – Boreham Wood, England
12:Morice Michael Abraham – RFK Novi Sad, Serbia
13:Khalid Habibu Idd – Singida Fountain Gate
14:Ishaka Said Mwinyi – KMKM FC
15:Jabir Seif Mpanda – Getafe U17, Hispania

WASHAMBULIAJI
16:Omary Abdallah Omary – Mashujaa FC
17:Ben Anthony Starkie – Likeston Town, England
18:Oscar Adam Paul – Kakamega FC, Kenya
19: Kelvin Pius John – KRC Genk, Belgium
20:Tarryan Allarakhia – Wealdstone, England
21:Ibrahim Hamad Ahmada – Zimamoto FC

 

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *