SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA

RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA

JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

23 Waitwa Taifa Stars Michezo ya FIFA Series 2024 Azerbaijan

Filed in Ajira, Michezo by on 13/03/2024 0 Comments

23 Waitwa Taifa Stars Michezo ya FIFA Series 2024 Azerbaijan

23 Waitwa Taifa Stars Michezo ya FIFA Series 2024 Azerbaijan, Kikosi Cha Taifa Stars Kinachokwenda Azerbaijan kwa Michezo ya FIFA Series 2024.

KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita Majina ya wachezaji 23 kwaajili ya mashindano mapya na mafupi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) yajulikanayo kama FIFA Series.

Michuano hiyo itafanyika kuanzia Machi 18 hadi 24 katika nchi nne tofauti na Taifa Stars watakuwa kituo cha Azerbaijan pamoja na wenyeji, Azerbaijan, Bulgaria na Mongolia.

KIKOSI Kamili Kitakachosafiri kwenda Azerbaijan kwaajili ya Michezo ya FIFA Series 2024

MAKIPA
1:Aishi Manula – Simba SC
2:Abutwalib Mshery – Young Africans
3:Kwesi Kawawa – Syrianska FC, Sweden

MABEKI
4:Bakari Mwamnyeto – Young Africans
5:Ibrahim Abdallah – Young Africans
6:Haji Mnoga – Aldershot Town, England
7:Lusajo Mwaikenda – Azam FC
8:Novatus Dismas – Shakhtar Donestsk, Ukraine
9:Mohamed Hussein – Simba SC
10:Miano Danilo – Villena CF, Hispania
11:Kennedy Juma – Simba SC

VIUNGO
12:Feisal Salum – Young Africans
13:Mudathir Yahya – Young Africans
14:Morice Michael – RFK Novi Sad, Serbia
15:Yahya Zaid – Young Africans
16:Himid Mao – Tala’ea El Gaish SC, Egypt
17:Tarryan Allarakhia – Wealdstone, England

WASHAMBULIAJI
18:Simon Msuva – Alnajmath FC, Saudi Arabia
19:Clement Mzize – Young Africans
20:Abdul Suleiman – Azam FC
21:Charles M’mombwa – Macarthur FC – Australia
22:Ben Statkie – Likestone Town, England
13:Kibu Denis – Simba SC

23 Waitwa Taifa Stars Michezo ya FIFA Series 2024 Azerbaijan, Kikosi Cha Taifa Stars Kinachokwenda Azerbaijan kwa Michezo ya FIFA Series 2024.

23 Waitwa Taifa Stars Michezo ya FIFA Series 2024 Azerbaijan

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *