RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

31 Wafutiwa Matokeo Darasa la Saba 2023

Filed in NECTA, Habari by on 23/11/2023 0 Comments

31 Wafutiwa Matokeo Darasa la Saba 2023

NECTA Matokeo Darasa la saba 2023, Matokeo Ya Darasa La Saba 2023/2024 – NECTA PSLE 2023 Matokeo Darasa la saba 2023-2024,Matokeo Ya Darasa La Saba 2023/2024 – NECTA PSLE 2023 results,NECTA Matokeo ya Darasa la saba PSLE 2023-24 Results Release Check Out,NECTA Matokeo Darasa la saba 2023/2024 PSLE Results – Standard Seven Examination Results31 Wafutiwa Matokeo Darasa la Saba 2023, NECTA Matokeo Darasa la saba 2023/2024 PSLE Results, PSLE Results 2023/2024, 2023/2024 psle Results, Matokeo Darasa la Saba 2023, Matokeo Standard Seven 2023, Tanzania Matokeo Darasa la Saba 2023, Matokeo Darasa la saba 2023/24.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya watahiniwa 31, Waliofanya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023 baada ya kubainika kufanya udanganyifu.

Ameyasema hayo Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said Mohammed wakati akitangaza matokeo hayo ya mitihani iliyofanyika Septemba 13 hadi 14, mwaka huu ambapo pia ameeleza kuwa watahiniwa walioshindwa kufanya mitihani hiyo watapewa nafasi ya kurudia mitihani yao mwakani 2024.

“Baraza la mitihani limezuia kutoa matokeo ya watahiniwa 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani kwa masomo yote au idadi kubwa ya masomo. Hivyo watahiniwa hawa wamepewa fursa ya kurudia kufanya mtihani huu mwaka 2024 kwa mujibu wa kifungu cha 32 (1) cha kanuni za mitihani,” amesema.

MATOKEO ya Darasa La Saba 2023/2024 Mkoa wa Dar Es salaam, Matokeo Darasa La Saba 2023/2024 Kagera, Necta Standard Seven Results 2023/2024, Dar Es Salaam Necta results 2023,NECTA Matokeo Darasa la saba Dar Es Salaam 2023/2024 PSLE Results – Standard Seven Examination Results Dar,Matokeo Ya Darasa La Saba 2023 Dar Es Salaam | PSLE Results,Matokeo Ya Darasa La Saba Dar 2023 NECTA PSLE,Matokeo Darasa La Saba 2023 Dar Es Salaam,Kagera Matokeo ya darasa la saba 2023,Matokeo darasa la saba Kinondoni, Matokeo ya Darasa la Saba 2023,Matokeo darasa la saba Kibaha 2023, Matokeo ya Darasa La Saba 2023 Dar es salaam, Matokeo ya Darasa la Saba 2023/2024, Matokeo ya darasa la Saba 2010 mkoa wa Dar Es Salaam.NECTA imebainisha kuwa ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.96 na kufikia asilimia 80.6, ambapo watahiniwa Milioni 1,092,960 ya watahiniwa wote wamefaulu kwa kupata madaraja ya A, B na C.

Tazama hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023

Aidha ufaulu wa somo la Kiswahili ni asilimia 88 ambapo zaidi ya theluthi mbili wamepata gredi A na B, huku ufaulu wa somo la Kiingereza ni asilimia 34.35, na upande wa somo la hisabati ufaulu umeshuka kwa asilimia 4.46 na kufikia asilimia 48.83 ikilinganishwa na mwaka jana.

Vilevile, amesema kuwa takwimu zinaonesha ufaulu wa somo la Sayansi umepanda kwa asilimia 2.5 na kufikia asilimia 74 akibainisha kuwa ubora wa ufaulu katika somo la Sayansi na Teknolojia umeongezeka kwa watahiniwa waliopata daraja la A na B hadi asilimia 28.11 ikilinganishwa na asilimia 26.32 ya mwaka jana.

NECTA Matokeo Darasa la saba 2023, Matokeo Ya Darasa La Saba 2023/2024 – NECTA PSLE 2023 Matokeo Darasa la saba 2023-2024,Matokeo Ya Darasa La Saba 2023/2024 – NECTA PSLE 2023 results,NECTA Matokeo ya Darasa la saba PSLE 2023-24 Results Release Check Out,NECTA Matokeo Darasa la saba 2023/2024 PSLE Results – Standard Seven Examination Results.

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *