340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024
340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024,Tangazo Kuitwa Kwenye Usaili Waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya Bayometrikiti Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba July 18-2024.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bukoba Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ihungo saa 1:30 asubuhi.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-.
- Usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ihungo saa 1:30 asubuhi.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, na
Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa. - Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kila msailiwa aje na kalamu ya buluu au nyeusi kwaajili ya usaili wa maandishi
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA BUKOBA MJINI
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024