RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


665 Waitwa Kwenye Usaili INEC Jimbo la Kahama Mjini August 2024

Filed in Ajira by on 02/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

665 Waitwa Kwenye Usaili INEC Jimbo la Kahama Mjini August 2024

665 Waitwa Kwenye Usaili INEC Jimbo la Kahama Mjini August 2024

665 Waitwa Kwenye Usaili INEC Jimbo la Kahama Mjini August 2024

665 Waitwa Kwenye Usaili INEC Jimbo la Kahama Mjini August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kahama Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa Usaili utafanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari JOHN PAUL II (MBULU) kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye Usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utatanyika tarehe 4/8/2024 kwa kundi A
  • Usaili utafanyika tarehe 5/8/2024 kwa kundi B

Kila Msailiwa anapaswa kuwa na Kitambulisho kwaajili ya utambuzi Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.

Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali anakotakiwa kufanyia Usaili.

Kila Msailiwa aje na kalamu ya Bluu au Nyeusi kwa ajili ya usaili wa Maandishi
Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya Tangazo husika.

Orodha ya wanaoitwa kwenye Usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini!

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA KAHAMA MJINI AUGUST 02-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.