744 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Missenyi July 18-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
744 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Missenyi July 18-2024
744 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Missenyi July 18-2024,Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nkenge Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi anawataarifu waombaji wote ambao majina yao yanaonekana hapo chini kuwa wanaitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 22, Julai, 2024 siku ya Jumatatu.
Aidha, usaili huo utafanyika katika Shule ya Sekondari Bunazi, kuanzia saa mbili kamili (2:00) Asubuhi.
Hivyo, waombaji wote walioitwa kwenye usaili wanataarifiwa kufika katika Shule ya Sekondari Bunazi wakiwa na:-
- Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Kitambulisho cha Mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji.
- Kalamu ya wino (Bluu au nyeusi.)
- Matokeo ya usaili yatatolewa tarehe 24/07/2024 na watakaofaulu watapatiwa mafunzo tarehe 02-03/08/2024.
- Gharama zote za usaili zitakuwa juu ya mwombaji.
- Tafadhali wahi muda uliotajwa.
Orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa kwa kila Kata imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA NKENGE, MISSENYI
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 744 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Missenyi July 18-2024