RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024

Filed in Ajira by on 18/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024

839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024

839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024

839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024,Tangazo la kuitwa kenye usaili kwa waombaji wa kazi za muda za uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu La Wapiga Kura kwa mwaka 2024 katika Jimbo la Kyerwa.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya mchakato wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Jimbo la Kyerwa kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba 2 ya mwaka 2024, kanuni ya 12 kifungu kidogo cha 1 (b-f).

839 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya la Kyerwa July 18-2024Hivyo, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kyerwa anawatangazia waombaji waliochaguliwa kwa nafasi ya Waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kufika siku ya Jumatatu tarehe 22 Julai, 2024 saa moja kamili asubuhi kwa utaratibu ufuatao.

  • Tarafa ya Kaisho na Murongo wafike katika Shule ya Sekondari Kyerwa iliyopo Kata ya Kyerwa na;
  • Tarafa ya Mabira na Nkwenda, wafike katika Shule ya Msingi Kagenyi iliyopo Kijiji cha Kagenyi, Kata ya Kyerwa.
  • Ufikapo, uwe na kitambulisho cha uraia, au cha mpiga kura au kitambulisho chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa kwa kila Kata imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA KYERWA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.