908 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Karagwe July 18-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
908 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Karagwe July 18-2024
908 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Karagwe July 18-2024,Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Karagwe anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bugene saa 2:00 asubuhi.
- 340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024
- MASWALI Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Kuhusu Vizazi
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bugene saa 2:00 asubuhi.
- Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi
Utambulisho utakaokubalika ni Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya kusafiria na Leseni ya Udereva. - Kila msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kila msailiwa anatakiwa kuja na cheti cha Kidato cha nne na cheti cha kuzaliwa.
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa tena kwa kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Orodha ya waombaji walioitwa kwenye usaili imeambatishwa na kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA KARAGWE
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 908 Waitwa Kwenye Usaili INEC Wilaya ya Karagwe July 18-2024