TIMU ambazo Simba inaweza kutana nazo Robo Fainali CAF 2023/24
TIMU ambazo Simba inaweza kutana nazo Robo Fainali CAF 2023/24
TIMU ambazo Simba inaweza kutana nazo Robo Fainali CAF 2023/24, Timu ambazo Simba inaweza kukutana nazo Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Timu zilizofuzu Robo Fainali club Bingwa Africa 2023/2024, Timu zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League, Timu zilizofuzu robo fainali afcon.
Nijuze Habari inakuleta orodha ya timu ambazo Klabu ya Simba SC inaweza kukutana nazo kwenye hatua ya Robo Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2023/2024)
Baada ya kukamilika Kwa Mechi za hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa timu nane (8) kutoka Mataifa 7 zimefuzu hatua ya Robo Fainali na kinachosubiriwa ni droo itakayofanyika huko Misri Leo March 12-2024.
Klabu ya Simba SC ya hapa Tanzania ni miongoni mwa timu 8 zinazosubiri kwa hamu kubwa droo hiyo.
Aidha timu zilizomaliza nafasi ya kwanza katika Makundi yao ni Mamelodi Sundowns ya South Africa, ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Petro Atletico ya Angola na Al Ahly SC ya Misri, wakati TP Mazembe ya DR Congo, Simba SC ya Tanzania , Esperance de Tunis ya Tunisia na Yanga SC ya Tanzania zimemaliza katika nafasi ya Pili katika Kila Kundi.
Katika droo ya robo Fainali timu zilizomaliza nafasi ya pili zitapangwa dhidi ya timu zilizomaliza vinara katika kila Kundi.
Kwa maana hiyo Simba itapangwa dhidi ya kinara wa kundi A, C au D, isipokuwa ASEC Mimosas ambaye walikuwa wote Kundi B, hivo Simba anaweza kupangwa na Mamelodi Sundowns, Al Ahly SC au Petro de Atletico.
Mechi za Robo Fainali mkondo wa kwanza zinatarajiwa kupigwa mwishoni mwa mwezi huu huku Simba ikianzia nyumbani na kumalizia ugenini.
Orodha Kamili ya Vilabu vilivyofuzu hatua ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.
- Mamelodi Sundowns – South Africa.
- ASEC Mimosas – Ivory Coast.
- Al Ahly SC – Egypt-
- Young Africans – Tanzania.
- TP Mazembe – DR Congo
- Petro de Luanda – Angola
- Simba SC – Tanzania.
- Espérance de Tunis – Tunisia.
Hiyo ndiyo orodha Kamili ya zilizofanikiwa kuvuka hatua ya Makundi na kufuzu hatua ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.
The CAF Champions League, known for sponsorship purposes as the TotalEnergies CAF Champions League and formerly the African Cup of Champions Clubs, is an annual football club competition organized by the Confederation of African Football and contested by top-division African clubs, deciding the competition winners through a round robin group stage to qualify for a double-legged knockout stage, and then a home and away final. It is the most prestigious club competition in African football.
The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season’s CAF Super Cup. Clubs that finish as runners-up their national leagues, having not qualified for the Champions League, are eligible for the second-tier CAF Confederation Cup.
Egyptian clubs have the highest number of victories (17 titles), followed by Morocco with 7. Cameroon, Egypt, Algeria, Tunisia and Morocco have the largest number of winning teams, with three clubs from each having won the title. The competition has been won by 26 clubs, 12 of which have won it more than once. Al Ahly is the most successful club in the competition’s history, having won the tournament a record 11 times.
Al Ahly are the current African champions, having beaten Wydad AC 3–2 on aggregate in the 2023 final.
Structure and qualification
Qualification
The CAF Champions League is open to the winners of all CAF-affiliated national leagues, as well as the title holders from the previous season. From the 2004 season onward, with the merging of the CAF Cup and the African Cup Winners’ Cup to create the second-tier CAF Confederation Cup, the runners-up of football leagues of the 12 highest-ranked countries also enter the tournament, making up a total of 64 in-competition teams. The 12 countries would be ranked based on the performance of their clubs in the previous 5 seasons/editions of the competition (the plain definition of the CAF 5-year ranking).
The number of teams that each association enters into the CAF Champions League is determined annually through criteria as set by the CAF Competitions Committee. The higher an association’s ranking as determined by the criteria, the more teams represent the association in the Champions League, and the fewer qualification rounds the association’s teams must compete in.
The CAF Champions League operates primarily as a knockout competition, with trim-down qualification rounds, a group stage, a two-legged knockout stage and a one-off final. At the start of the competition, the 64 qualified teams enter 2 qualification rounds: the preliminary stage and the first round. After the first qualifying round, the remaining teams are split into four groups of 4, whereas the teams each first-round winner vanquished transfer to the second qualification round of the Confederation Cup for hopes of group stage progression. The winners and runners-up of each group progress to the two-legged knockout stage for hopes of progression to a one-off final for a chance to lift the trophy for their member association.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Timu ambazo Simba inaweza kukutana nazo Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, TIMU ambazo Simba inaweza kutana nazo Robo Fainali CAF 2023/24, Timu zilizofuzu robo fainali afcon., Timu zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League, Timu zilizofuzu Robo Fainali club Bingwa Africa 2023/2024