RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 126 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Handeni 18-05-2024

Filed in Ajira by on 19/05/2024

MAJINA 126 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Handeni 18-05-2024

MAJINA 126 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Handeni 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI 18-05-2024.

MAJINA 126 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Handeni 18-05-2024

MAJINA 126 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Handeni 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI 18-05-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25/05/2024 hadi 26/05/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Leseni ya Udereva, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI,
    Astashahada (NTA 4), Astashahada (NTA 5) kutegemeana na sifa za mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ni wastani sio
    joto wala sio baridi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI LEO MAY 18-2024

Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

 UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ipo kusini mwa mkoa wa Tanga kwa nyuzi za latitude 40 9 – 60 0 kusini mwa Ikweta na longitude nyuzi 360 8 – 380 5 mashariki mwa ‘‘Greenwich’’. Kwa upande wa Mashariki Wilaya ya Handeni inapakana na Wilaya za Pangani na Muheza, upande wa Kaskazini inapakana na Wilaya za Korogwe na Simanjiro, upande wa Magharibi inapakana nz Wilaya ya Kilindi na upande wa Kusini inapakana na Wilaya ya Bagamoyo.

1.1       ENEO:

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ina eneo la Kilometa za Mraba 6,453 (Ha.637,925.15).  Eneo hili ni sawa na asilimia 23.59 ya eneo lote la Mkoa wa Tanga

HALI YA WILAYA (PHYSICAL FEATURES) NA HALI YA HEWA:

Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya HANDENI imegawanyika katika Kanda Kuu mbili nazo ni:-

Ukanda wa Juu (Miinuko na Milima michache):

Ukanda huu unaundwa na miinuko ya milima iliyotawanyika na vilele vya milima ambayo mwinuko wake ni kuanzia meta 600 hadi meta 1,200 kutoka Usawa wa Bahari na umechukua karibu asilimia 75 (4,839.75 km2) ya eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.  Kiasi cha wastani wa mm800 – mm1000 za mvua hupatikana katika Ukanda huu kwa mwaka.

Ukanda wa Tambarare:

Ukanda huu una mwinuko kati ya Meta 200 hadi Meta 400 kutoka Usawa wa Bahari na wastani wa mvua kwa mwaka ni mm 800 – 1,400. Ukanda umeenea karibu asilimia 25% (1,613.25km2) ya eneo lote la Halmashauri.

Kwa ujumla Wilaya inapata nyuzi joto la 270C mpaka 390C kwa misimu mikuu mitatu ya hali ya hewa:-

Msimu wa joto (Kuanzia mwezi Desemba – Machi)

Msimu wa Mvua (Kuanzia mwezi April – Mei)

Msimu wa Baridi (Juni – Septemba). kwa maelezo zaidi zoma hapa

Tags: , , ,

Comments are closed.