KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

ABDELHAK Benchikha Kocha Mpya Simba SC 2023

Filed in Michezo, Usajili by on 24/11/2023 0 Comments

ABDELHAK Benchikha Kocha Mpya Simba SC 2023

ABDELHAK Benchikha Kocha Mpya Simba SC 2023, Kocha Mpya Simba, Benchikha Kocha Mpya Simba SC, Mfahamu Kocha Mpya Simba.ABDELHAK Benchikha Kocha Mpya Simba SC 2023, Kocha Mpya Simba, Benchikha Kocha Mpya Simba SC, Mfahamu Kocha Mpya Simba, Simba yamtambulisha Kocha Mpya.

Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi Kocha Abdelhak Benchikha akirithi mikoba ya Mbrazil Robertinho Oliveira “Robertinho”.

Benchikha raia wa Algeria mwenye umri wa miaka 60 anatua Simba baada ya kuachana na USM Alger ya kwao Algeria.

ABDELHAK Benchikha Kocha Mpya Simba SC 2023, Kocha Mpya Simba, Benchikha Kocha Mpya Simba SC, Mfahamu Kocha Mpya Simba, Simba yamtambulisha Kocha Mpya.Benchikha anao uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika Soka la Afrika akitwaa mataji mengi tofauti ikiwemo Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita wa 2023 mbele ya Yanga kwenye Fainali akiwa na USM Alger kisha kubeba CAF Super Cup akipata ushindi ushindi mbele ya Al Ahly.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *