RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

Abdelhak Benchikha kuelekea mchezo vs Wydad 19 December 2023

Filed in Michezo by on 18/12/2023 0 Comments

Abdelhak Benchikha kuelekea mchezo vs Wydad 19 December 2023

Abdelhak Benchikha kuelekea mchezo vs Wydad 19 December 2023,head-to-head Simba Sports Club vs Wydad Casablanca Head to Head,Simba SC vs Wydad AC live score, H2H and lineups,Simba vs wydad prediction, Simba vs wydad live stream, Simba vs wydad results.

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kuwa wamejiandaa vyema na wako tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Wydad Athletic ambao utapigwa kesho Jumanne ya December 19,2023.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Benchikha amesema kuwa ni mchezo muhimu ambao ni lazima washinde ili kuweka hai matumaini ya kutinga Robo Fainali.

Amesema kuwa Wachezaji wake wako tayari na kila mmoja anafahamu hawahitaji matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho.

“Mechi hii ni muhimu kwetu kupata ushindi kuweka hai matumaini ya kusonga mbele hatua inayofuata”

“Ni muhimu kuwa na nguvu ya pamoja na umakini mkubwa. Wachezaji wako tayari, uwezo wa kulitimiza hili wanao”

“Tunajiamini kwani tunao uwezo wa kushinda mchezo dhidi ya Wydad Casablanca,” alisema Benchikha

Mchezo huo wa utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar Es Salaam.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *