RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Ally Kamwe Atangaza Kujiuzulu Yanga

Filed in Michezo by on 29/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

Ally Kamwe Atangaza Kujiuzulu Yanga

Ally Kamwe Atangaza Kujiuzulu Yanga

Ally Kamwe Atangaza Kujiuzulu Yanga

Ally Kamwe Atangaza Kujiuzulu Yanga,Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Sc,Ally Shaban Kamwe ametangaza kujiuzulu nafasi baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka miwili kwa mafanikio tangu September 25, 2022.

Akitangaza uamuzi huo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii July 28-2024 Kamwe amesema kuwa Mtumbuizaji mzuri anatakiwa kujua ni wakati gani wa kuondoka Jukwaani akinukuu maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba,

“Na ni Hekima hi, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.

“Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu. Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.

“Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.” ameandika Kamwe.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.