RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba Mpya

Filed in Michezo, Usajili by on 23/05/2024 0 Comments

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba Mpya

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba Mpya

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba Mpya

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba Mpya,Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Mchezaji wao kutoka Burkina Faso, Stephen Aziz KI Mkataba wake  na Yanga SC unamalizika mwisho wa msimu huu ila wapo kwenye Mazungumzo nae.

“Mimi siwezi kuwekeza nguvu kwenye siasa na sitaki kudanganya Wanachama wa Yanga, nawaambia uhalisia mapema wajue nini tunatakiwa tufanye”

“Aziz Ki ni Mchezaji wa Yanga ana Mkataba hadi mwisho wa msimu, mpaka sasa hivi tuko kwenye mazungumzo nae lakini Aziz KI hajasaini Mkataba mpya huo ndio ukweli sitaki kuwekeza kwenye siasa”

Hadi sasa Aziz KI amekuwa akihusishwa kuwindwa na Vilabu vya Mamelod Sundowns na Kaizer Chiefs vya Afrika Kusini pamoja na Club moja wapo ya Qatar.

“Mambo mnayoyasikia sisi hatutaki kuyaongelea Kwa sababu tunajua Hapa Tanzania hakuna Timu inayoweza kumsajili Aziz Ki

ALLY Kamwe athibitisha Aziz Ki hajasaini Mkataba MpyaIla tunajua watu wanaomtaka Aziz Ki wapo vizuri Financial hiyo ni kweli Sina haja ya kufanya Propaganda tofauti yangu Mimi Msemaji na wasemaji wengine Nimenyooka kama Rula

Ningekuwa mtu wa propaganda ningewaambia Aziz Ki Tayari yupo Yanga, Ukweli Hayupo Bado Jukumu letu Mimi na wewe Mwana Yanga kuhakikisha Tunajisajili Aziz Ki anabakia Yanga Hiyo ndiyo Fact hakuna Siasa Hapa Tusidanganyane Wala tusipeane moyo wakati Uhalisia tuna ukimbia” Aiongeza Ally Kamwe.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *