AUGUSTINE Okejepha Kutua Simba
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AUGUSTINE Okejepha Kutua Simba
AUGUSTINE Okejepha Kutua Simba, Klabu ya Simba imerudi tena Nigeria katika klabu ya Rivers United ambapo iko mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okejepha mwenye umri wa miaka 20.
Kwa mujibu wa Mwanahabari maarufu wa Ghana Micky Jr, amesema kuwa Okejepha amekubali kutua Msimbazi na atasaini mkataba wa miaka mitatu.
Klabu ya Simba iko katika hatua za mwisho kumalizana na Rivers United kwaajili ya utambulisho wa Okejepha pale Msimbazi.
Okejepha alikuwa moja ya wachezaji waliofanya vizuri katika kikosi cha Rivers United msimu uliopita wa 2023/2024. AUGUSTINE Okejepha Kutua Simba