AYOUB Lakred Nje ya dimba Miezi Miwili
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AYOUB Lakred Nje ya dimba Miezi Miwili
AYOUB Lakred Nje ya dimba Miezi Miwili,Mlinda lango nambari moja wa Klabu ya Simba SC, Ayoub Lakred amepata majeraha akiwa Pre-season inayoendelea nchini Misri.
Kulingana na taarifa za awali, Lakred anaweza kuwa nje ya Uwanja hadi miezi miwili, ambapo Ali Salum na Hussein Abel ndio wapo kama mbadala wake.
Kutokana na hilo Simba inaweza kurudi sokoni kusaka golikipa mwingine wa ndani ili kushirikiana na walinda lango wengine waliopo, huku Aishi Manula akiwa nje ya Uwanja kutokana na majeraha.