RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

AZAM FC yasajili beki mpya kutoka Mali

Filed in Usajili, Michezo by on 21/04/2024 0 Comments

AZAM FC yasajili beki mpya kutoka Mali

AZAM FC yasajili beki mpya kutoka Mali

AZAM FC yasajili beki mpya kutoka Mali

AZAM FC yasajili beki mpya kutoka Mali, Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwaajili ya usajili wa beki wa kati, Yoro Mamadou Diaby kutoka Stade Malien de Bamako alipokuwa Kwa Mkopo.

Taarifa ya Azam FC imesema kwamba beki huyo mwenye umri wa miaka 23 atajiunga nao rasmi kuanzia msimu ujao wa 2024/25.

Akiwa Stade Malien de Bamako, Yoro aliisadia klabu hiyo kufika robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, akiifungia timu yake mabao katika mechi zote mbili za Robo Fainali dhidi ya Dreams FC ya Ghana.

Yoro amezichezea timu zote za vijana za taifa za Mali, kuanzia ile ya chini ya 17, chini ya miaka 20 na chini ya miaka 23.

Yoro pia alikuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Mali kilichoshiriki CHAN, mwaka 2022 nchini Algeria.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *