AZAM FC Yasajili Kiungo Kutoka Colombia
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AZAM FC Yasajili Kiungo Kutoka Colombia
AZAM FC Yasajili Kiungo Kutoka Colombia,Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo Ever Meza kutoka klabu ya Leonnes ya Colombia.
Meza mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka minne.
Taarifa ya Azam FC imesema kuwa;
“Tunayo furaha kumtambulisha, Ever Meza, kama kiungo wetu mpya tukimnunua kutoka klabu ya Leonnes ya Colombia.
Meza, raia wa Colombia aliyezaliwa Julai 21, 2000; alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Alianza FC ya huko huko Colombia.
Amesaini mkataba wa miaka minne utakaomuweka Azam Complex hadi mwaka 2028″.
Karibu sana Ever William Meza Mercado;