AZAM TV Yaongeza Channel Mpya AzamSports4HD
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AZAM TV Yaongeza Channel Mpya AzamSports4HD
AZAM TV Yaongeza Channel Mpya AzamSports4HD, Azam Tv imezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na itatumika kuonesha Ligi Kuu za Hispania (La Liga) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo imeanza kuruka hewani Leo Alhamisi August 01-2024.
Aidha Kampuni ya Azam Media Kupitia Kisimbuzi hicho Cha Azam TV, tayari wanarusha Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, CAF Champions League and Confederation Cup.
Baada ya kuongeza chaneli mpya (AzamSports4HD) na kuboresha muonekano wa chaneli Cha Azam TV, pia wamefanya mabadiliko ya namba za chaneli hizo.
Kuanzia Leo Agosti Mosi, chaneli Azam TV zitakuwa katika mpangilio kama unavyoonekana hapa chini.