AZAM vs Yanga Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AZAM vs Yanga Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar
AZAM vs Yanga Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar,Yanga vs Azam FC Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB, Azam vs Yanga Fainali CRDB Bank Federation Cup, Young Africans vs Azam FC CRDB Bank Federation Cup 2023/2024.
Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank Federation Cup) sasa utachezwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati mkoani Manyara.
Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya baadhi ya miundombinu muhimu mjini Babati kutokuwa tayari Kwaajili ya Fainali hiyo pamoja na sababu za kiusalama.
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limezishauri Mamlaka za Mkoani Manyara kuendelea kufanya Marekebisho katika Miundombinu hiyo ili ifikiriwe kwaajili ya Fainali zijazo na michuano mingine mikubwa.
Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa tarehe 2 June mwaka huu katika Uwanja wa New Amaan kuanzia saa 2.15 usiku.
Aidha TFF imemwalika Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Mheshimiwa Tabia Maulid Mwita kuwa mgeni rasmi.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Azam vs Yanga Fainali CRDB Bank Federation Cup, AZAM vs Yanga Kupigwa New Amaan Complex Zanzibar, Yanga vs Azam FC Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB, Young Africans vs Azam FC CRDB Bank Federation Cup 2023/2024.