AZAM Yajiondoa CECAFA Kagame Cup 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
AZAM Yajiondoa CECAFA Kagame Cup 2024
AZAM Yajiondoa CECAFA Kagame Cup 2024, Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024.
Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV, Meneja Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Zakaria amesema kuwa kutokana na uwepo wa ratiba ngumu inayowakabili kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2024/2025 watashindwa kujiandaa kikamilifu kuelekea Mashindano hayo.