KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

AZAM Yasajili Kiungo Kutoka Mali

Filed in Usajili, Michezo by on 02/05/2024 0 Comments

AZAM Yasajili Kiungo Kutoka Mali

AZAM Yasajili Kiungo Kutoka Mali, Usajili mpya Azam FC, Yanga yasajili Kiungo mpya Kutoka Mali, usajili Mpya 2024/2025.

AZAM Yasajili Kiungo Kutoka Mali

AZAM Yasajili Kiungo Kutoka Mali, Usajili mpya Azam FC, Yanga yasajili Kiungo mpya Kutoka Mali, usajili Mpya 2024/2025.

Klabu ya Azam imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) kumsajili kiungo mshambuliaji, Franck Tiesse kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa 2024-25.

Tiesse mwenye umri wa 26 anayesifika kwa uwezo wake mkubwa wa kushambulia kwa kasi na uwezo wa kutumia miguu yote miwili, akiwa Stade Malien aliisaidia klabu hiyo kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.

Nyota huyo raia wa Mali pia anamudu kucheza kama winga wa kulia, kiungo mshambuliaji na winga wa kushoto.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *