BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV July 2024
BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV July 2024,Bei ya Vifurushi vya Azam TV 2024,Bei mpya ya vifurushi vya azam tv july 24-2024,Vifurushi vya Azam TV vya wiki 2024,Azam TV packages per week.
Azam TV ambayo moja ya Ving’amuzi Maarufu nchini Tanzania imefanya Maboresho ya Vifurushi vyake ambapo bei hiyo mpya itaanza kutumika Kuanzia August 01,2024.
Aidha Ukiwa na Azam TV, unaweza kupata Chaneli Mbalimbali za Burudani, Habari, Michezo Pamoja na Elimu.
Mchanganyiko wa Chaneli zinazotolewa na Azam TV hukidhi matakwa na Mapendeleo Mbalimbali, Kuhakikisha kwamba Watazamaji wana Chaguo za kutosha kuchagua.
BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV July 2024
Azam TV imetangaza Mabadiliko hayo kupitia njia ya sms kwenda Kwa wateja wake wote ambao wamejisajili na wanatumia Vingamuzi vyao kama inavyoonekana hapa Chini;
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Bei Mpya ya Vifurushi vya Azam TV Kuanzia July 2024
AZAM TV PACKAGES | PRICE MONTHLY |
Azam Lite 80+ Channels | TZS 12,000 / Monthly |
Azam Pure 85+ Channels | TZS 19,000 / Monthly |
Azam Plus 95+ Channels | TZS 28,000 / Monthly |
Azam Play 130+ Channels | TZS 35,000 / Monthly |
Wiki Azam TV 2023
Azam TV WIKI | PRICE WEEKLY |
Wiki Azam Lite | TZS 4,000 / Weekly |
Wiki Azam Pure | TZS 7,000 / Weekly |
Kwa maelezo ya kina kuhusu king’amuzi cha Azam TV, vifurushi na mpangilio wa chaneli, ni vyema kutembelea tovuti yao rasmi au kuwasiliana na huduma kwa wateja wao.
Wataweza kutoa maelezo mahususi kuhusu bei, vifurushi vinavyopatikana, na vipengele au huduma zozote za ziada zinazotolewa na Azam TV nchini Tanzania.
Mawasiliano ya Azam TV.
PO Box 2517,
Dar Es Salaam,
Tanzania.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV July 2024, Bei mpya ya vifurushi vya azam tv july 24-2024, Bei ya Vifurushi vya Azam kwa mwezi, Vifurushi vya Azam TV vya siku, Vifurushi vya Azam TV vya wiki 2024