RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Habari

RAIS Samia afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi

Filed in Habari by on 03/09/2024 0 Comments
RAIS Samia afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi
SHARE THIS POST:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:- Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Luteni Kanali Fredrick Faustin Komba ameteuliwa kuwa Mkuu […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

CCM yateua 10 kugombea nafasi ya ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki

Filed in Habari by on 02/09/2024 0 Comments
CCM yateua 10 kugombea nafasi ya ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki
SHARE THIS POST:

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana tarehe 01 Septemba 2024 katika kikao chake maalum, imefanya uteuzi wa majina ya wana-CCM 10 kugombea nafasi ya ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), kati ya wanachama 47 walijitokeza kuwania uteuzi huo. Wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu ni hawa wafuatao: Ndugu Gladness Ladislaus SALEMA Ndugu Maria […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

Mkuu wa Wilaya Longido atenguliwa

Filed in Habari by on 01/09/2024 0 Comments
Mkuu wa Wilaya Longido atenguliwa
SHARE THIS POST:

Mkuu wa Wilaya Longido atenguliwa Rais Dkt: Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido (DC), Marco Ng’umbi baada ya kuhudumu kwa mwaka mmoja na miezi minane katika wilaya hiyo.  

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

MWIMBAJI Marco Joseph Bukuru Afariki Dunia

Filed in Habari by on 24/08/2024
MWIMBAJI Marco Joseph Bukuru Afariki Dunia
SHARE THIS POST:

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Marco Joseph Kutoka kundi maarufu la nyimbo za injili la Zabron Singers amefariki Dunia. Marco alifariki juzi Jumatano wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Matibabu ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) hospitali ya kitaifa ya Muhimbili. Mwimbaji huyo aliripotiwa kuugua uugonjwa wa moyo wiki moja iliyopita, hali iliyomlazimu […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

BILIONI 840 Kutumika Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na El-nino

Filed in Habari by on 23/08/2024
BILIONI 840 Kutumika Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na El-nino
SHARE THIS POST:

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na makalvati yaliyoharibiwa na mvua kubwa za El-Nino na Kimbunga Hidaya ambapo maandalizi ya utekelezaji huo yanaendelea. Ameeleza kuwa mvua za El-Nino zilizonyesha katika kipindi cha mwezi Septemba […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

TMA Yakutana na Waandishi Kujadili Namna Bora ya kufikisha Utabiri wa Mvua za Vuli kwa Wananchi

Filed in Habari by on 23/08/2024
TMA Yakutana na Waandishi Kujadili Namna Bora ya kufikisha Utabiri wa Mvua za Vuli kwa Wananchi
SHARE THIS POST:

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ili kujadili utabiri wa msimu wa mvua za Vuli (Oktoba – Disemba ) 2024, katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dar es Salaam, Tarehe 21/8/2024. “Warsha hii ni mwendelezo wa ushirikishwaji wa wanahabari katika kujadilli namna […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

DARAJA la J.P Magufuli Kigongo Busisi kurahisisha Usafiri

Filed in Habari by on 22/08/2024
DARAJA la J.P Magufuli Kigongo Busisi kurahisisha Usafiri
SHARE THIS POST:

Daraja la J.P Magufuli la Kigongo Busisi linalojengwa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) jijini Mwanza imeelezwa kuwa litarahisisha usafiri na usafirishaji kwa mikoa na nchi za jirani. Msimamizi wa mradi huo wa kimkakati, Mhandisi Devotha Kafuku amesema hayo leo tarehe 22 Agosti, 2024 kwenye kongamano na Maonesho ya Tisa ya Wahandisi Wanawake Tanzania (TAWECE) […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

MULEBA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO MWAKA WA FEDHA 2023-2024

Filed in Habari by on 21/08/2024
MULEBA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO MWAKA WA FEDHA 2023-2024
SHARE THIS POST:

Halmashauri ya Wilaya ya Muleba ya Mkoani Kagera imevuka lengo la makusanyo ya mapato ya ndani kwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 8.6 sawa na asilimia 125 ya lengo kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Mhe.Magongo Justus amesema hayo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili taarifa za […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAHANDISI WANAWAKE MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA

Filed in Habari by on 21/08/2024
SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAHANDISI WANAWAKE MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA
SHARE THIS POST:

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwaajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini. Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshatoa kiasi cha Shilingi Bilioni 840 kwaajili ya […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

UCHAGUZI Serikali za Mitaa Kufanyika Novemba 2024

Filed in Habari by on 15/08/2024
UCHAGUZI Serikali za Mitaa Kufanyika Novemba 2024
SHARE THIS POST:

UCHAGUZI Serikali za Mitaa Kufanyika Novemba 2024 UCHAGUZI Serikali za Mitaa Kufanyika Novemba 2024, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika Novemba 27 mwaka huu wa 2024. RATIBA ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Mchengerwa ameyasema hayo jijini […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »