RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Usajili

Usajili

Yanga tishio Afrika inajengwa – Injinia Hersi

Filed in Usajili, Michezo by on 22/08/2024
Yanga tishio Afrika inajengwa – Injinia Hersi
SHARE THIS POST:

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema kuwa bado malengo ya kuijenga Yanga tishio barani Afrika hayajakamilika, hivo maboresho zaidi yanatarajiwa kufanyika katika dirisha dogo la usajili. Hersi amesema katika dirisha hili kuna wachezaji wawili ambao waliwaweka katika mpango wa kuwasajili lakini hawakufanikiwa. Amesema Yanga itarudi tena kwenye dirisha dogo kuwanasa nyota hao akiamini usajili […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

Wydad yamfuata Clement Mzize

Filed in Usajili, Michezo by on 22/08/2024
Wydad yamfuata Clement Mzize
SHARE THIS POST:

Klabu ya Wydad Athletic ya nchini Morocco imewasilisha ofa kwenye klabu ya Young Africans ili kuona kama itamsajili Mshambuliaji, Clement Mzize. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga imethibitisha kuwa Wydad wamewasilisha ofa yao ya kwanza ambayo hata hivyo imekataliwa kwa sababu haijafikia thamani halisi ya mchezajim Young Africans imegoma kupokea takribani Tsh Milioni 270 […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

Simba Yaachana na Freddy Michael

Filed in Michezo, Usajili by on 21/08/2024
Simba Yaachana na Freddy Michael
SHARE THIS POST:

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa mshambuliaji wake Freddy Michael Koublan ambaye hakukidhi mahitaji ya kocha Fadlu Davies. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Leonel Ateba kutoka USM Alger. Baada ya kuachwa na Simba Freddy Michael ametua Katika Klabu ya USM Alger ambapo […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

LEONEL Ateba ni Mnyama

Filed in Usajili, Michezo by on 15/08/2024
LEONEL Ateba ni Mnyama
SHARE THIS POST:

LEONEL Ateba ni Mnyama LEONEL Ateba ni Mnyama, Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Leonel Ateba raia wa Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili Kutoka USM Alger ya Algeria. Ateba mwenye umri wa miaka 25 amesajiliwa kwa dau la dola 200,000 (zaidi ya milioni 540 za kitanzania) LEONEL Ateba Kutua Simba SC  Usajili […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

LEONEL Ateba Kutua Simba SC 

Filed in Usajili, Michezo by on 12/08/2024
LEONEL Ateba Kutua Simba SC 
SHARE THIS POST:

LEONEL Ateba Kutua Simba SC  LEONEL Ateba Kutua Simba SC, Klabu ya Simba SC ipo Katika hatua za mwisho kukamilisha usajili Mshambuliaji wa kati, Leonel Ateba raia wa Cameroon Kutoka USM Alger ya Algeria. RATIBA ya Mechi za Simba 2024/2025 Kwa sasa, Simba na USMA wanaendelea na mazungumzo kuhusu ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

Willy Onana apishana na Moussa Camara Simba

Filed in Usajili by on 03/08/2024
Willy Onana apishana na Moussa Camara Simba
SHARE THIS POST:

Willy Onana apishana na Moussa Camara Simba Willy Onana apishana na Moussa Camara Simba,Ujio wa golikipa mpya kutoka Horoya Athletic Club ya kwaoGuinea, Moussa Camara umemfanya winga Willy Esomba Onana kung’oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini nchini Misri. MO Dewji ateua […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

RASMI Moussa Camara Atambulishwa Simba SC

Filed in Usajili by on 02/08/2024
RASMI Moussa Camara Atambulishwa Simba SC
SHARE THIS POST:

RASMI Moussa Camara Atambulishwa Simba SC RASMI Moussa Camara Atambulishwa Simba SC, Mlinda mlango mahiri, Moussa Camara amejiunga na Simba SC Kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Horoya Athletic Club. CV ya Moussa Camara Golikipa mpya wa Simba Camara raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 25 anatua Simba kuongeza nguvu katika idara ya golikipa […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama

Filed in Usajili by on 31/07/2024
JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama
SHARE THIS POST:

JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa Mlinzi wa kulia, Josephine Julius Nyirenda kutoka Baobab Queens ya Iringa kwa mkataba wa miaka miwili. SAITI Mary Atinuke ni Mnyama Josephine ni kijana mdogo mwenye miaka 20 ambaye bado ana nguvu ya kucheza mpira kwa muda mrefu […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

SAITI Mary Atinuke ni Mnyama

Filed in Usajili by on 31/07/2024
SAITI Mary Atinuke ni Mnyama
SHARE THIS POST:

SAITI Mary Atinuke ni Mnyama SAITI Mary Atinuke ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa Kiungo mkabaji Saiti Mary Atinuke Kutoka Yanga Princess kwa mkataba wa miaka miwili. WINCATE Kaari ni Mnyama Atinuke ni raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 24 ambaye sifa yake kubwa ni kuipa timu uwiano wakati wa kuzuia […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

WINCATE Kaari ni Mnyama

Filed in Usajili by on 31/07/2024
WINCATE Kaari ni Mnyama
SHARE THIS POST:

WINCATE Kaari ni Mnyama WINCATE Kaari ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa mlinzi, Wincate Kaari kutoka Yanga Princess kwa mkataba wa miaka miwili. SIMBA Yawasili Salama nchini Wincate raia wa Kenya mwenye Umri wa miaka 24 ni mlinzi wa kushoto mwenye uwezo mkubwa wa kuzuia na kupandisha mashambulizi. Pamoja na jukumu lake […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »