RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


CEO Mpya Simba Kukutana na Mitihani hii

Filed in Uncategorized, Michezo by on 27/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

CEO Mpya Simba Kukutana na Mitihani hii

CEO Mpya Simba Kukutana na Mitihani hii

CEO Mpya Simba Kukutana na Mitihani hii

CEO Mpya Simba Kukutana na Mitihani hii, Klabu ya Simba imemtambulisha, Francois Regis kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo akichukua mikoba ya Imani Kajula ambaye mkataba wake unaisha.

Mnyarwanda huyo anatarajia kuanza rasmi majukumu yake Agosti 01,2024 ambapo Imani Kajula mkataba wake unafikia kikomo mwisho wa mwezi huu Julai.

Francois baada ya Kuanza Kazi Simba atakuwa na kibarua cha kuirudisha Simba kwenye ufalme wake wakati huu ambao Yanga inatawala Kwa kutwaa makombe kwa misimu mitatu mfululizo.

Mitihani inayomkabili CEO mpya wa Simba ni;

  • Kuhakikisha anabeba Ngao ya Jamii
  • Kuhakikisha anashinda Ligi Kuu Bara
  • Kuhakikisha anafika Fainali Kombe la Shirikisho Afrika
  • Kuhakikisha anafanikisha Usajili wa Wanachama na Mashabiki
  • Kuhakikisha anakuza Udhamini
  • Kuhakikisha anakuza Mapato ya Klabu.
    • Uboreshwaji wa Miundombinu ya Klabu na
    • Kuimarisha Programu ya Soka la Vijana na Wanawake.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.