KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

CHAMA na Azizi Ki Kucheza Pamoja?

Filed in Usajili, Michezo by on 05/05/2024 0 Comments

CHAMA na Azizi Ki Kucheza Pamoja?

CHAMA na Azizi Ki Kucheza Pamoja?

CHAMA na Azizi Ki Kucheza Pamoja?

CHAMA na Azizi Ki Kucheza Pamoja?, Kwa tetesi za Usajili zinavyoripoti msimu ujao tunaweza kuwaona Viungo Clatous Chama pamoja na Stephen Aziz Ki wakiwa timu Moja.

Inaelezwa kuwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama bado hajasaini Mkataba wa kuendelea kusalia Simba Kwa Msimu ujao wa 2024/2025 pamoja na Simba kumpa ofa ya mkataba mpya.

Kwenye kumbukumbu zetu tetesi nyingi hasa kwenye madirisha kadhaa ya usajili yaliyopita Chama alitajwa kuwa kwenye rada za Yanga mwisho akasalia Simba na kuitumikia Msimu huu unaoisha May 28-2024.

Safari hii inaonesha Yanga wapo Serious usajili huo kwani baada ya msimu kuisha atakuwa Mchezaji huru.

Je unadhani Chama na Azizi Ki watacheza pamoja msimu ujao wa 2024/2025?

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *