CHILUNDA apewa Thank You Simba
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
CHILUNDA apewa Thank You Simba
CHILUNDA apewa Thank You Simba, Simba yaachana na Shabani Idd Chilunda, Simba yamuacha Shabani Idd Chilunda, Shabani Idd Chilunda aachana na Simba, Shaban Idd Chilunda aachwa Simba, Wachezaji Walioachwa Simba 2024.
Mshambuliaji, Shaban Idd Chilunda amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja hivo hatakuwa sehemu ya kikosi Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/2025.
Chilunda ni Mchezaji Kijana mwenye kiwango bora ambaye alijiunga na Simba msimu uliopita kwa mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa na nafasi ya kuongezwa mwingine kama Simba ingeridhishwa na kiwango chake.
Katika dirisha la mwezi Januari Chilunda alicheza kwa mkopo KMC hadi mwisho wa msimu lakini sasa hayupo kwenye mipango ya timu ya Simba kuelekea msimu ujao wa 2024/2025.
Simba inamtakia kila la kheri Chilunda katika maisha yake mapya huku ikimtarajia kufanya makubwa katika timu ambayo itamsajili.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: CHILUNDA apewa Thank You Simba, Shaban Idd Chilunda aachwa Simba, Shabani Idd Chilunda aachana na Simba, Simba yaachana na Shabani Idd Chilunda, Simba yamuacha Shabani Idd Chilunda, Wachezaji Walioachwa Simba 2024.