KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

CLATOUS Chama afungiwa na Faini Juu

Filed in Michezo by on 02/05/2024 0 Comments

CLATOUS Chama afungiwa na Faini Juu

CLATOUS Chama afungiwa na Faini Juu

CLATOUS Chama afungiwa na Faini Juu

CLATOUS Chama afungiwa na Faini Juu, Kiungo wa Simba SC, Clatous Chotta Chama amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage katika mchezo wa baina ya timu hizo Aprili 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Katika taarifa yake imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango isiyo rasmi siku ya mchezo wa KariakooDerby uliyochezwa April 20, 2024.

Kutokana na kosa hilo kamati imeitoza Yanga SC Shilingi milioni tano (5,000,000) baada ya kuonekana kutenda kosa hilo katika michezo zaidi ya minne (4) ndani ya misimu mitatu ya ligi kuu.

Klabu ya Simba pia imetozwa kiasi cha shilingi milioni moja (1,000,000) kutokana na kosa hilohilo walilolitenda siku ya mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Yanga SC.

Taarifa zaidi kutoka Bodi ya Ligi.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *