CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024
CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024
CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024,CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Edwin Balua Mchezaji wa Simba SC, Historia ya Edwin Balua, CV ya Edwin Balua, Historia ya Edwin Balua, Umri Wa Edwin Balua Simba, Timu alizowahi kuchezea Edwin Balua.
Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa Winga, Edwin Balua kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 20 amewahi kuichezea timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Timu za taifa za vijana U20 na U23.
Usajili Edwin Balua ambaye anatumia Mguu wa Kushoto ni moja ya sajili bora kwa wachezaji wa ndani uliofanywa na Simba.
Balua anakamilisha idadi ya Wachezaji sita (6) waliosajiliwa na Simba katika dirisha hili dogo la usajili akiungana na Saleh Karabaka kutoka JKU SC na Ladark Chasambi kutoka Mtibwa Sugar wakiwa Wachezaji wa ndani.
Wengine ni Mshambuliaji Fredy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast kutoka Green Eagles ya Zambia, Kiungo Mkabaji Babacar Sarr kutoka US Monastir na Mshambuliaji Pa Omar Jobe kutoka FC Zhenis ya Kazakhstan hawa wakiwa Wachezaji wa Kigeni.
CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024
Amezaliwa; 18/08/2003
Urefu; 182 Centimeters
Uzito; 74Kgs
Nafasi; Winga wa kulia, Winga wa kushoto, Kiungo Mshambuliaji.
Edwin Balua alishawahi kucheza kwenye Vilabu vya DTB, Coastal Union pamoja na Tanzania Prison.
Edwin Balua akiwa na Tanzania Prison amecheza jumla ya michezo 26 akifunga mabao saba 7 na kutoa pasi za mabao 6.
Kwa maana hiyo Edwin Balua amehusika kwenye mabao 13 katika michezo 26 aliyoichezea Tanzania Prison FC.
Profile ya Edwin Balua Winga mpya wa Simba, Mfahamu Edwin Balua Simba SC, Know Edwin Balua, History of Edwin Balua, Statistics and Awards Edwin Balua, Record za Edwin Balua Simba Sc, Takwimu za Edwin Balua Simba, Statistics za Edwin Balua Simba sc, Edwin Balua New Simba Player.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- TETESI Za Usajili Simba SC Dirisha Dogo 2023/2024
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: CV ya Edwin Balua, CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024, CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Historia ya Edwin Balua, Mfahamu Edwin Balua Mchezaji wa Simba SC, Timu alizowahi kuchezea Edwin Balua., Umri Wa Edwin Balua Simba