RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa

Filed in Ajira, Michezo by on 21/12/2023 0 Comments

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa, HESLB https://www.heslb.go.tz,heslb announces 'diploma' loans allocations for 2023/2024, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma PDF, Fomu Ya kuomba Mkopo, Mikopo kwa Diploma 2023 PDF, Form Ya Mkopo wa chuo 2023, HESLB news today, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, Mwongozo wa Mkopo 2023/24, dirisha la mkopo 2023/2024 Awamu ya Pili, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024 pdf, HESLB login, heslb news 2023/24, Maombi ya Mkopo 2023/2024.

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa, HESLB https://www.heslb.go.tz,heslb announces ‘diploma’ loans allocations for 2023/2024, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma PDF, Fomu Ya kuomba Mkopo, Mikopo kwa Diploma 2023 PDF.

BODI ya Mikopo HESLB imetoa taarifa kwa Wanafunzi na Umma kuwa Dirisha la kupokea Maombi ya Mikopo kwa njia ya mtandao kutoka kwa Wanafunzi wa Stashahada (diploma) kwa mwaka wa masomo 2023/2024 limefunguliwa kwa awamu ya pili kwa siku 14 kuanzia leo, Alhamisi, Disemba 21, 2023.

Awali, dirisha la kupokea Maombi ya mkopo kutoka kwa wanafunzi wa stashahada lilifunguliwa Novemba 7, 2023 na awamu ya kwanza ya wanafunzi waliopangiwa mikopo ilitangazwa na kusambazwa vyuoni Novemba 29, 2023.

Katika dirisha la awamu ya pili, Wanafunzi walengwa wamegawanyika katika makundi matatu ambao watapaswa kuwasilisha maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia https://olas.heslb.go.tz/olams/pre-applicant 

Kundi la Kwanza ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Stashahada za kipaumbele kama zilivyotajwa katika ‘TOLEO LA KWANZA’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’ ambao awali hawakuweza kuomba kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuchelewa hadi dirisha kufungwa.

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa, HESLB https://www.heslb.go.tz,heslb announces 'diploma' loans allocations for 2023/2024, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma PDF, Fomu Ya kuomba Mkopo, Mikopo kwa Diploma 2023 PDF, Form Ya Mkopo wa chuo 2023, HESLB news today, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, Mwongozo wa Mkopo 2023/24, dirisha la mkopo 2023/2024 Awamu ya Pili, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024 pdf, HESLB login, heslb news 2023/24, Maombi ya Mkopo 2023/2024.

DIRISHA La Mikopo ya Stashahada Awamu ya Pili 2023/2024 Lafunguliwa

Kundi la Pili ni wanafunzi wa mwaka wa pili au wa tatu wa Stashahada za kipaumbele kama zilivyotajwa katika ‘TOLEO LA KWANZA’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’. Wanafunzi hawa, ambao awali hawakuweza kuomba mkopo, sasa wanaruhusiwa kuomba.

Kundi la Tatu ni wanafunzi wa stashahada za kipaumbele ZITAKAZOONGEZWA siku chache zijazo kupitia ‘TOLEO LA PILI’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’. Stashahada zitakazoongezwa zitatangazwa kupitia tovuti www.heslb.go.tz kabla ya Disemba 23, 2023.

Aidha HESLB wanafunzi wote wanaoomba mkopo wa Stashahada kupitia dirisha hili la awamu ya pili kusoma ‘TOLEO LA KWANZA’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’ ambao unapatikana katika www.heslb.go.tz na www.nactvet.go.tz

Form Ya Mkopo wa chuo 2023, HESLB news today, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2023, Mwongozo wa Mkopo 2023/24, dirisha la mkopo 2023/2024 Awamu ya Pili, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024 pdf, HESLB login, heslb news 2023/24, Maombi ya Mkopo 2023/2024.

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,

Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,

S.L.P. 984,

DODOMA

Alhamisi, Disemba 21, 2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *