Eid al-Adha Kwa Waislam wote
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Eid al-Adha Kwa Waislam wote
Eid al-Adha Kwa Waislam wote, Nijuze Habari inawatakia wasomaji wetu nyote kheri ya Sikukuu ya Eid Al Adha.
Ikawe siku njema kwetu sote yenye amani, umoja na upendo kwa jirani, ndugu, jamaa, marafiki na wote wenye kuhitaji ukarimu wetu.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na baraka azipokee dua zetu, atusamehe makosa yetu, aendelee kutushika mkono na kutuongoza katika mema, kweli, haki na weledi katika kumtumikia yeye.
Eid-al-Adha Mubarak.