ELIE Mpanzu Afunga Usajili Kimataifa Simba 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
ELIE Mpanzu Afunga Usajili Kimataifa Simba 2024/2025
ELIE Mpanzu Afunga Usajili Kimataifa Simba 2024/2025,Klabu ya Simba SC tayari imekamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa DR Congo, Elie Mpanzu kutoka AS Vita Club ya DR Congo.
Mpanzu mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba wa miaka miwili unaomuweka Simba hadi 2026.
Mpanzu ndiye Mchezaji aliyefunga usajili wa wachezaji wa kimataifa wa Simba SC 2024/2025.
Wachezaji 12 wa kimataifa Simba SC kwa msimu 2024/2025 ni golikipa Ayoub Lakred, mabeki Chamou Karaboue, Che Fondoh Malone na Valentine Nouma.
Wengine ni viungo Fabrice Ngoma, Debora Mavambo, Augustine Okejepha na Jean Charles Ahoua.
Wengine ni winga Joshua Mutale na Elie Mpanzu pamoja na washambuliaji Freddy Michael na Steven Mukwala.