Emeliana Isaya Mdimu ni Mnyama
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Emeliana Isaya Mdimu ni Mnyama
Emeliana Isaya Mdimu ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa Mlinzi Emeliana Isaya Mdimu kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2024/25.
Emeliana mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na Simba Queens Kutoka Ceasiaa Queens ya Iringa kwa mkataba wa miaka miwili.
Akiwa na Ceasia msimu uliopita Emeliana alifunga mabao matatu licha ya kuwa ni mlinzi.
Dhamira ya Simba Queens ni kuhakikisha inaafanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa ndio maana inafanya Maboresho zaidi ya Kikosi Chao.