SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024

Filed in Ajira, Habari, Michezo by on 09/02/2024 0 Comments

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024, EWURA Bei Mpya ya Mafuta Kuanzia February 07-2024, EWURA New Fuel Price Tanzania February 2024, New Fuel Price Tanzania February 07-2024,Energy and Water Utilities Regulatory Authority, Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 07-2024.

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024, EWURA Bei Mpya ya Mafuta Kuanzia February 07-2024, EWURA New Fuel Price Tanzania February 2024, New Fuel Price Tanzania February 07-2024,Energy and Water Utilities Regulatory Authority, Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 07-2024.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 7 Februari 2024 saa 6:01 usiku.

Kwa mwezi Februari 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2:

JEDWALI 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA (SHILINGI/LITA)

Kupungua kwa bei za mafuta kwa mwezi Februari 2024 kunatokana na kushuka kwa bei za mafuta (FOB) katika soko la Dunia kwa wastani (weighted average) wa asilimia 10.66 kwa petroli, asilimia 11.20 kwa dizeli na asilimia 5.82 kwa mafuta ya taa.

Pia kupungua kwa bei za mafuta kumetokana na kushuka kwa gharama za uagizaji wa mafuta kwa Bandari ya Dar es Salaam kwa wastani (weighted average) wa asilimia 9.69 kwa dizeli na
asilimia 1.82 kwa mafuta ya taa.

Vivo hivyo, gharama za uagizaji wa mafuta ya petroli na dizeli kwa Bandari za Tanga na Mtwara zimepungua kwa wastani (weighted average) wa asilimia 0.69 na 11.93, mtawalia.

Bei za mafuta za rejareja kwa kila mji, wilaya na mkoa ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na.3.

Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zinazooneshwa katika Jedwali Na. 3.

Aidha, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zinazooneshwa katika Jedwali Na. 2.Hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.

EWURA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na rejareja pamoja na jamii kuzingatia yafuatayo: –

Bei ya petrol April 2024, Bei ya mafuta 2024, Bei ya mafuta February 2024, Bei ya mafuta ya petrol leo 2024 pdf, Ewura bei mpya 2024, Bei ya mafuta February 2024, Bei ya mafuta ya petrol February 2024, Bei ya mafuta February 2024, Bei ya mafuta ya diesel leo.EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024, EWURA Bei Mpya ya Mafuta Kuanzia February 07-2024, EWURA New Fuel Price Tanzania February 2024, New Fuel Price Tanzania February 07-2024,Energy and Water Utilities Regulatory Authority, Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 07-2024.

 • bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana kupitia simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kisha kufuata maelekezo.
 • Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa nchini.
 • Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, kifungu namba 166, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko.
 • EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta.
 • Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani isipokuwa bei hizo zisizidi bei kikomo (Price cap) au kuwa chini ya bei iliyoruhusiwa (Floor Price) kama zilivyokokotolewa kwa mujibu wa Kanuni za EWURA za Kupanga Bei za Mafuta za Mwaka 2022 zilizotangazwa tarehe 28 Januari 2022 kupitia Gazeti la Serikali Na. 57 na marekebisho ya Kanuni tajwa
  kupitia Gazeti la Serikali Na. 761A la tarehe 30 Oktoba 2023.
 • Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana yakionesha bei za mafuta, punguzo, vivutio vya kibiashara vinavyotolewa na kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua,
  wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani.
 • Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka
  mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja.
 • Adhabu kali itatolewa kwa
  kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni husika.
 • Wauzaji wa bidhaa za mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa stakabadhi za mauzo kutoka kwenye Electronic Fiscal Pump Printers (EFPP) na wanunuzi wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita.
 • Stakabadhi hizo zitatumika kama kidhibiti kwa wanunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora unaotakiwa.
 • Stakabadhi hizo pia zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za
  Serikali zitokanazo na mauzo ya bidhaa za mafuta ya petroli

CLICK HERE TO DOWNLOAD PDF 

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Bei ya mafuta ya diesel leo February 2024,Bei ya mafuta ya petrol leo February 2024, Ewura bei mpya February 2024,bei ya petrol Dar es Salaam February 2024,Bei ya mafuta leo tanzania,Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 07 February 2023 saa 6:01 usiku, Jinsi ya kuangalia bei za mafuta, Bei ya mafuta leo tanzania, Bei za mafuta February 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *