SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti

Filed in Ajira, Makala, Michezo by on 03/04/2024 0 Comments

FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti

FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti,Utaratibu wa Kuomba Pasipoti na hati Nyingine za Kusafiria,Tanzania Immigration Department,PDF mwongozo wa huduma ya pasipoti na hati za kusafiria, Tanzania Passport Application, Inachukua muda gani kupata passport mpya.

FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti

FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti,Utaratibu wa Kuomba Pasipoti na hati Nyingine za Kusafiria,Tanzania Immigration Department,PDF mwongozo wa huduma ya pasipoti na hati za kusafiria, Tanzania Passport Application, Inachukua muda gani kupata passport mpya.

PASIPOTI NI NINI?
Ni hati inayotolewa na serikali ili kumuwezesha raia wake kusafiri nje ya mipaka ya nchi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi anayokwenda au kupitia.
Licha ya kuwa pasipoti hutolewa kwa jina na maelezo ya mwombaji, hati hiyo hubaki ni mali ya serikali.
AINA ZA PASIPOTI NA HATI NYINGINE ZA KUSAFIRIA PAMOJA NA GHARAMA ZAKE
1.Pasipoti ya kawaida (Sh.50,000/=)
2.Pasipoti ya Utumishi (Sh. 50,000/=)
3.Pasipoti ya Kibalozi (Sh. 50,000/=)
4.Pasipoti ya Afrika Mashariki (Sh. 15,000/=)
5.Shahada ya Dharura (Sh. 10,000/=)
6.Cheti cha Utambulisho (Certificate of Identity, Sh. 10,000/=)
7.Hati ya Wakimbizi (Geneva Convention Travel Document, Sh. 20,000/=)
MAKUNDI YA WATU NA AINA YA PASIPOTI WANAZOSTAHILI KUPEWA.
 • Pasipoti ya kawaida (Ordinary Passport) inaweza kutolewa kwa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kusafiri nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 • Pasipoti ya Utumishi (Service Passport) inaweza kutolewa kwa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye yupo katika Utumishi wa Umma au anayeshika mamlaka ya ofisi kama ilivyoainishwa katika sheria ya pasipoti na hati za kusafiria namba 20 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2004.
 • Pasipoti ya Kibalozi (Diplomatic Passport) inaweza kutolewa kwa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyoainishwa katika sheria ya pasipoti na hati za kusafiria namba 20 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2004.
 • Pasipoti ya Afrika Mashariki inaweza kutolewa kwa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekusudia kusafiri katika nchi zilizomo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 • Shahada ya Dharura inaweza kutolewa kwa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; 
 • Mwenye safari ya dharura na hawezi kutimiza masharti ya kupata pasipoti ya kawaida.
 • Ambaye amekwama nje ya nchi na hawezi kupata pasipoti ya kawaida au anasafirishwa kurejeshwa nyumbani.
 • Cheti cha Utambulisho kinaweza kutolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye hawezi kupata hati ya kusafiria kutoka nchini kwake au hana uraia wa nchi yoyote.
 • Hati ya Wakimbizi hutolewa kwa mgeni mkaazi (Mkimbizi) aliyepo nchini kwa mujibu wa Sheria anapokuwa na safari nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

FAHAMU Utaratibu wa Kuomba Pasipoti

TARATIBU ZA UOMBAJI NA UTOAJI WA PASIPOTI
Maombi ya pasipoti huwasilishwa na mwombaji mwenyewe katika ofisi za Uhamiaji Makao Makuu, Ofisi ya Uhamiaji Zanzibar, Ofisi za balozi za Tanzania nchi za nje na Kwenye ofisi yoyote ya Uhamiaji na kwenye ofisi yoyote ya Uhamiaji Mkoa au Wilaya ambako mwombaji anaishi.
Kwa sasa unaweza kujaza fomu kupitia https://www.immigration.go.tz/ppt_application/ badala ya kwenda ofisini kuchukua fomu.
Hata hivyo, pasipoti hutolewa tu kwenye Ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu Dar es salaam na Ofisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar.
HATI ZINAZOTAKIWA KUAMBATANISHWA NA ILI KUOMBA LA PASIPOTI.
Ombi lolote la pasipoti litaambatanishwa na;
 • Cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo au cheti cha kuandikishwa uraia wa mwombaji.
 • Cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo au cheti cha kuandikishwa uraia ya mmoja wa wazazi wa mwombaji.
 • Picha tano (passport size) za mwombaji za karibuni zenye rangi bluu bahari nyuma.
 • Kwa mwombaji ambaye umri wake ni chini ya miaka 18, barua ya idhini toka kwa mzazi au mlezi iambatanishwe.
VIAMBATANISHO MAALUMU KUTOKANA NA SAFARI
SAFARI ZA BINAFSI
 • Uthibitisho wa shughuli za mwombaji
 • Barua ya mwaliko au tiketi ya kwenda na kurudi.
 • Idhini ya mwajiri kwa waajiriwa na kivuli cha kitambulisho.
 • Barua ya Afisa Mtendaji Kata/Sheha na barua binafsi kwa wasioajiriwa.
SAFARI ZA KIKAZI, MIKUTANO, TAMASHA NA KADHALIKA.
 • Barua ya mwajiri/kampuni/shirika
 • Barua ya mwaliko
 • Kitambulisho cha mwombaji
SAFARI ZA MASOMO
 • Barua ya wito wa shule/chuo
 • Barua ya mdhamini wa masomo
 • Uthibitisho wa malipo kwa waojitegemea
 • Idhini ya mwajiri kwa walioajiriwa
 • Idhini ya mzazi/mlezi halali kwa mwombaji chini ya miaka 18.
SAFARI ZA MATIBABU
 • Barua toka kwa daktari mkuu wa serikali au
 • Barua kutoka kwa daktari aliyesajiliwa au
 • Barua ya idhini toka Wizara ya Afya.
SAFARI ZA BIASHARA
 • Hati iliyo hai ya biashara na hati za usajili wa biashara
 • Barua ya maombi
 • Tiketi ya kwenda na kurudi
SAFARI ZA AJIRA
 • Uthibitisho wa barua ya ajira/Mkataba wa kazi au tiketi ya safari
SAFARI ZA MICHEZO
 • Barua toka TFF au ZFA au
 • Barua toka chama chochote kilichosajiliwa rasmi kulingana na aina ya michezo na
 • Barua ya mwaliko
SAFARI ZA KIDINI
 • Barua ya mwaliko
 • Barua ya dhehebu linalohusika
SAFARI ZA MABAHARIA
 •  Mkataba wa kazi
 • Kitambulisho cha ubaharia
 • Vyeti vya ujuzi
 • Barua toka chama cha mabaharia
KWA UFAFANUZI ZAIDI WASILIANA NA OFISI YA UHAMIAJI ILIYOPO KARIBU NA WEWE AU;
KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI
S.L.P. 512 DAR ES SALAAM
Simu Na. +255-28-50575, 2850576, 2850569
KAMISHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR
S.L.P. 1354 ZANZIBAR
Simu Na. +255-24-2234973

Gharama za kupata passport tanzania, Jinsi ya kuangalia Passport, Fomu ya maombi ya passport, Mfano wa barua ya maombi ya passport tanzania, Barua ya maombi ya hati ya kusafiria, Maombi ya passport online, Maombi ya passport ya dharura, Tanzania passport application form PDF, Vigezo vya kupata passport, Online passport application form Tanzania, Sheria ya uhamiaji Tanzania pdf.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *