SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji

Filed in Michezo by on 12/04/2024 0 Comments

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji, Yanga yafungiwa Kusajili Wachezaji wa ndani, Yanga yafungiwa Kusajili Wachezaji wapya, Yanga yapigwa Stop usajili wa Wachezaji wapya, Yanga yapigwa Stop usajili wa Wachezaji wa ndani, FIFA yaipiga Stop Yanga Kusajili Wachezaji wapya.

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji, Klabu ya Young Africans imefungiwa kufanya usajili baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya Klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP).

Yanga haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa Mchezaji katika Mfumo wa Usajili (TMS), licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

Klabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kikanuni, na kuwasilisha taarifa kwa Sekretarieti ya Kamati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwaajili ya hatua zaidi.

Kutokana na uamuzi huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia Klabu ya Yanga kufanya usajili kwa Wachezaji wa ndani.

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji, Yanga yafungiwa Kusajili Wachezaji wa ndani, Yanga yafungiwa Kusajili Wachezaji wapya, Yanga yapigwa Stop usajili wa Wachezaji wapya, Yanga yapigwa Stop usajili wa Wachezaji wa ndani, FIFA yaipiga Stop Yanga Kusajili Wachezaji wapya.

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili Wachezaji

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *