KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

FIFA yaifungulia Simba kusajili Wachezaji

Filed in Michezo, Usajili by on 05/12/2023 0 Comments

FIFA yaifungulia Simba kusajili Wachezaji

FIFA yaifungilia Simba kusajili Wachezaji, Simba yafungiliwa kusajili, FIFA yaifungilia Simba kusajili, FIFA yaifungilia Simba, Simba yafungiliwa kusajili, TFF yaifungilia usajili wa wachezaji.FIFA yaifungulia Simba kusajili Wachezaji, Simba yafungiliwa kusajili, FIFA yaifungilia Simba kusajili, FIFA yaifungilia Simba, Simba yafungiliwa kusajili, TFF yaifungilia usajili wa wachezaji.

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa klabu ya Teungueth ya Senegal.

Awali FIFA iliifungia klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC baada ya kushindwa kuilipa Teungueth kutokana na mauzo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho.

Klabu hiyo ilifungua kesi FIFA dhidi ya Simba ikidai sehemu ya malipo kutokana na mauzo ya Sakho.

Simba ilishindwa kesi hiyo na kutakiwa kuilipa klabu hiyo ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa, lakini haikutekeleza na kusababisha ifungiwe.

Baada ya kukamilisha malipo hayo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungulia Simba kufanya uhamisho wa ndani wa wachezaji.FIFA yaifungilia Simba kusajili Wachezaji, Simba yafungiliwa kusajili, FIFA yaifungilia Simba kusajili, FIFA yaifungilia Simba, Simba yafungiliwa kusajili, TFF yaifungilia usajili wa wachezaji.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *