FOMU ya Maombi ya kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
FOMU ya Maombi ya kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama
FOMU ya Maombi ya kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama,Tume ya Utumishi wa Mahakama Ajira 2024,
Fomu ya maombi ya kazi tume ya utumishi wa mahakama,Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama,Tume ya utumishi wa mahakama,www.jsc.go.tz login,Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania address.
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Aidha, Ibara ya 113 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Usimamizi wa Mahakama Sura 237 vinaipa Tume ya Utumishi wa Mahakama majukumu mbalimbali
ikiwa ni pamoja na kuajiri watumishi wa Mahakama ya Tanzania wa kada mbalimbali.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa
zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi Mahakama ya Tanzania katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi:
Ili kupata fomu ya kielektroniki kwaajili ya kutuma maombi, tafadhali bofya hapa chini;
Judicial Service Commission – Job Application
NO. | KADA | NAFASI | KITUO CHA KAZI | CLOSING DATE | |
---|---|---|---|---|---|
1 | TECHNICIAN II (WELDING AND FABRICATION TECHNICIAN) | Nafasi 2 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
2 | TECHNICIAN II (CIVIL) | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
3 | ICT OFFICER II (SYSTEMS ADMINISTRATOR | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
4 | TECHNICIAN II (MECHANICAL) | Nafasi 1 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
5 | TECHNICIAN II (ELECTRICAL) | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
6 | TECHNICIAN II (PLUMBING) | Nafasi 6 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
7 | TECHNICIAN II (AIR CONDITION (HVAC) | Nafasi 1 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
8 | ICT OFFICER II (SYSTEM ANALYST) | Nafasi 12 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
9 | ICT OFFICER II (DATA SCIENTIST) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
10 | ICT OFFICER II (WEB & MULTIMEDIA ADMINISTRATOR) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
11 | ICT OFFICER II (NETWORK ADMINISTRATOR) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
12 | ICT OFFICER II (SECURITY MANAGEMENT) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
13 | ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER) | Nafasi 7 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
14 | MSAIDIZI WA OFISI | Nafasi 9 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
15 | MLINZI | Nafasi 7 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
16 | DEREVA II | Nafasi 21 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
17 | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II | Nafasi 13 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
18 | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | Nafasi 6 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
19 | AFISA UGAVI MSAIDIZI I (ASSISTANT SUPPLIES OFFICER I) | Nafasi 13 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
20 | AFISA UGAVI DARAJA LA II (SUPPLIES OFFICER II) | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
21 | AFISA UTAWALA II | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
22 | MSAIDIZI WA HESABU I | Nafasi 36 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
23 | AFISA HESABU II | Nafasi 16 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
24 | HAKIMU MKAZI II | Nafasi 32 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama, Fomu ya maombi ya kazi tume ya utumishi wa mahakama, Tume ya utumishi wa mahakama, Tume ya utumishi wa mahakama ajira 2024, Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania address., www.jsc.go.tz login
Kazi ya Udereva katika tume ya utumishi wa mahakama
Naitaji kazi ya udereva