FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ualimu 2024/25
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ualimu 2024/25,Joining Instructions Vyuo vya Ualimu 2024/2025,Joining Instructions Vyuo vya Ualimu 2024/25.
FOMU ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU KATIKA VYUO VYA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2024/25.
MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO
(JOINING INSTRUCTION) 2024/2025.
Uongozi wa chuo unafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kozi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi Mchepuo wa Sayansi ya Jamii na Lugha ya Kiswahili (Kwa kutumia Lugha ya Kiswahili) katika chuo cha Ualimu Bunda.
Aidha Mafunzo haya yatachukuwa muda wa miaka miwili.
Unatakiwa kufika chuoni kuanzia tarehe 09/09/2024 hadi tarehe 25/09/2024.
Baada ya tarehe tajwa hapo juu hutapokelewa na kusajiliwa.
Ni vema uwahi ili usipoteze nafasi yako hii adimu pia upate maelekezo ya msingi katika mafunzo kabilishi (orientantion) kwaajili ya kujua mambo mbalimbali ya
kufuata na kuzingatia katika kipindi chote cha mafunzo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za
chuo.
- SOMA HII: WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2024/2025
JOINING INSTRUCTION) 2024/2025 ZA VYUO VYOTE TAFADHALI DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA CHINI;