FURSA za Ufadhili Masomo Samia Scholarship 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
FURSA za Ufadhili Masomo Samia Scholarship 2024/2025
FURSA za Ufadhili Masomo Samia Scholarship 2024/2025, SAMIA Scholarship Login 2024/2025, Samia Scholarship 2024/2024, Fursa za Ufadhili Kwa Wanafunzi wanaotaka Kusoma Degree na Masters Samia Scholarship 2024/2025.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza programu ya Ufadhili iitwayo ‘SAMIA SCHOLARSHIPS’ kwa masomo ya Shahada ya Kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya Kidato cha Sita ya mwaka 2024 iliyofanywa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) katika fani ya Sayansi ya Umaalumu (PCB), PCM, PGM, CBG, CBA na PMC).
Ufadhili wa ‘SAMIA SCHOLARSHIPS’ utagharamia masomo ya Elimu ya Juu kwa wale wanafunzi waliopata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwa mujibu wa ‘Mwongozo’ unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inayosimamia utekelezaji wa masomo haya.
Mwongozo huo unapatikana www.heslb.go.tz
HESLB Samia Scholarship 2024/2025
Samia Scholarships’ itawasilishwa kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz ndani ya siku 23 kuanzia Agosti 08, 2024 hadi Agosti 31, 2024.
Wanafunzi watakaoruhusiwa kutuma maombi ni wale ambao orodha yao ipo kwenye PDF hapa chini.
KUTUMA MAOMBI TAFADHALI BONYEZA HAPA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Fursa za Ufadhili Kwa Wanafunzi wanaotaka Kusoma Degree na Masters Samia Scholarship 2024/2025., FURSA za Ufadhili Masomo Samia Scholarship 2024/2025, Samia Scholarship 2024/2024, SAMIA Scholarship Login 2024/2025