SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


GAMONDI na Matampi Watwaa Tuzo za TFF February 2024

Filed in Michezo by on 11/03/2024 0 Comments

GAMONDI na Matampi Watwaa Tuzo za TFF February 2024

GAMONDI na Matampi Watwaa Tuzo za TFF February 2024, Gamondi Kocha Bora, Matampi Mchezaji Bora Tuz za TFF February 2024, Miguel Gamondi Kocha bora wa NBC Premier League februari 2024. GAMONDI na Matampi Watwaa Tuzo za TFF February 2024, Gamondi Kocha Bora, Matampi Mchezaji Bora Tuz za TFF February 2024, Miguel Gamondi Kocha bora wa NBC Premier League februari 2024.

LEY MATAMPI Mchezaji Bora Ligi Kuu ya NBC, Februari 2024.

LEY MATAMPI Mchezaji Bora Ligi Kuu ya NBC, Februari 2024.

Golikipa wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, Ley Matampi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya NBC, huku Miguel Gamondi wa Young Africans akiibuka kocha bora wa mwezi huo.

Matampi ametwaa tuzo hiyo baada ya kuonesha kiwango kizuri kwa kucheza dakika 270 za michezo mitatu bila kuruhusu bao mwezi Februari, Coastal ikitoka 0-0 ugenini dhidi ya KMC, ikishinda nyumbani bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji na kupata ushindi wa idadi hiyo walipokutana na Mtibwa Sugar.

Kipa huyo amewashinda kiungo Mudathir Yahya wa Young Africans na mshambuliaji Samson Mbangula wa Prisons alioingia nao Fainali huku akiwa ameisaidia Coastal kupanda kutoka nafasi ya sita hadi ya nne katika Msimamo wa Ligi.

MIGUEL GAMONDI Kocha Bora Ligi Kuu ya NBC Februari 2024.

MIGUEL GAMONDI Kocha Bora Ligi Kuu ya NBC Februari 2024.

Kwa upande wa Gamondi aliiongoza Young Africans katika michezo mitano, ikishinda minne na kutoka sare mmoja na kupanda kutoka nafasi ya pili hadi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi.

Young Africans ilitoka 0-0 na Kagera Sugar, ikazifunga Dodoma Jiji bao 1-0, Mashujaa 2-1, Prisons 1-2 na KMC 0-3.

Gamondi amewashinda Abdelhak Benchikha wa klabu ya Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons alioingia nao fainali.

AMIR JUMA Meneja Bora wa Uwanja, Februari 2024. Uwanja wa Azam Complex Dar es Salaam

AMIR JUMA Meneja Bora wa Uwanja, Februari 2024. Uwanja wa Azam Complex Dar es Salaam

Pia Kamati ya Tuzo imemchagua Meneja wa Uwanja wa Azam Complex, Amir Juma kuwa Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Februari.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *