GSM akubali Kujenga Uwanja wa Yanga
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
GSM akubali Kujenga Uwanja wa Yanga
GSM akubali Kujenga Uwanja wa Yanga, GSM Kujenga Uwanja wa Young Africans, Ghalib Said Mohammed akubali Kujenga Uwanja wa Yanga, Uwanja wa Yanga kujengwa wapi?, Uwanja mpya wa Yanga, Yanga kujengewa Uwanja,GSM Aridhia Kushiriki Kufanikisha Ujenzi Wa Uwanja Wa Kisasa Wa Yanga,GSM Kuijengea Yanga Uwanja wa Kisasa Jangwani.
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewataarifu Wanachama na Mashabiki wa Klabu hiyo kuwa Mdhamini/Mfadhili wa timu hiyo Ghalib Said Mohammed (GSM) atashiriki katika ujenzi wa Uwanja wa Yanga.
Hersi amesema kuwa baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya uongozi wa Yanga na GSM, sasa ni rasmi GSM atashiriki katika kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Yanga SC.
Taarifa rasmi kutoka kwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said.
Leo, Februari 11, 2024 Klabu yetu kongwe na yenye mafaniko zaidi nchini Tanzania, Young Africans Sports Club imefikisha miaka 89 tangu kuanzishwa kwake.
Nichukue fursa hii kuwapongeza sana Viongozi walionitangulia, Wazee, Wanachama, mashabiki na wapenzi walioshiriki kwenye safari ndefu ya kuijenga Klabu yetu iliyoshiriki kwenye matukio mengi ya Ki- taifa ikiwemo kutafuta Uhuru wa Nchi yetu na kuijenga Tasnia ya michezo, hali inayofanya kwa sasa, Young Africans SC kuwa tunu na sio Tanzania bali Afrika kwa ujumla.
Aidha, nichukue fursa hii kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki na Wanafamilia wote wa Young Africans SC kwa kumpoteza aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu yetu, Mzee Imani Madega, aliye- fariki siku ya jana.
Wakati huo huo, naungana na Watanzania wote kwenye maombolezo ya msiba wa kitaifa wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa.
Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amen.
Katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu wa uongozi wangu kama Rais wa Klabu hii kwa kushirikiana na Kamati yangu tendaji, tumeweza kuwa na maendeleo makubwa kwenye maeneo mbalimbali, ikiwemo kiutawala, kimichezo na kimiundombinu.
Leo, tukiwa kwenye sherehe za miaka 89 za kuzaliwa kwa Klabu yetu, nina Habari njema ya kuwaeleza Wanachama na Mashabiki wa Klabu yetu ya Young Africans Sports Club.
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na mdhamini na mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed (GSM), nipende kuwataarifu Wanachama na Mashabiki wa Klabu yetu kuwa leo, GSM ameridhia kwa dhati kushiriki kwenye kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Young Africans Sports Club, katika eneo la Makao Makuu ya Klabu yetu, Jangwani, Jijini Dar Es Salaam.
Nichukue fursa hii kumshukuru sana GSM kwa dhamira hiyo inayokwenda kutimiza ndoto ya Uongozi wangu, Kamati ya Utendaji na Wanachama na Mashabiki wa Young Africans kwa kuwa na uwanja wetu.
Kwa niaba ya Uongozi, Wanachama na Mashabiki wa Young Africans SC, nipende kumuahidi GSM, kuwa tutampa ushirikiano wote utakaohitajika kuhakikisha tunafanikisha ujenzi wa uwanja wetu.
Mungu ibariki Young Africans Sports Club, Mungu Ibariki Tanzania. Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Injinia HERSI SAID, Rais wa Young Africans Sports Club
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ghalib Said Mohammed akubali Kujenga Uwanja wa Yanga, GSM akubali Kujenga Uwanja wa Yanga, GSM Aridhia Kushiriki Kufanikisha Ujenzi Wa Uwanja Wa Kisasa Wa Yanga, GSM Kuijengea Yanga Uwanja wa Kisasa Jangwani., GSM Kujenga Uwanja wa Young Africans, Uwanja mpya wa Yanga, Uwanja wa Yanga kujengwa wapi?, Yanga kujengewa Uwanja