KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025

Filed in Ajira, Habari, Makala by on 07/06/2024 0 Comments

HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025

HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025, Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 payment,Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 login,Dirisha la mkopo 2024 2025,HESLB login.

HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025

HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025, Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 payment,Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 login,Dirisha la mkopo 2024 2025,HESLB login.

Maombi yote ya mkopo yatafanyika kupitia Mfumo wa Maombi na Usimamizi wa Mikopo (OLAMS).

Waombaji wote wa mikopo Wanakumbushwa kutumia namba ileile ya Mtihani wa Kidato cha Nne iliyotumika wakati wa kuomba udahili.

Baada ya kukamilika kwa mchakato wa maombi kwenye mtandao, waombaji watapaswa kupakua (ku-print) nakala za fomu za maombi na Mkataba wa Mkopo kutoka kwenye mtandao, kugonga mihuri sehemu husika, kusaini fomu, kuambatisha nyaraka zinazohitajika na kuzipakia (upload) kwenye mfumo wa OLAMS kurasa zilizosainiwa namba 2 na 5)

Aidha Waombaji wanapaswa kulipia ada ya maombi ya mkopo ya kiasi cha shilingi elfu thelathini (TZS 30,000.00) kwa namba ya kumbukumbu ya malipo wanayoipata katika mfumo na kulipia kupitia Benki au kwa mitandao ya simu.

Soma zaidi; HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *