HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025
HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025, Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 payment,Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 login,Dirisha la mkopo 2024 2025,HESLB login.
Maombi yote ya mkopo yatafanyika kupitia Mfumo wa Maombi na Usimamizi wa Mikopo (OLAMS).
Waombaji wote wa mikopo Wanakumbushwa kutumia namba ileile ya Mtihani wa Kidato cha Nne iliyotumika wakati wa kuomba udahili.HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025
Baada ya kukamilika kwa mchakato wa maombi kwenye mtandao, waombaji watapaswa kupakua (ku-print) nakala za fomu za maombi na Mkataba wa Mkopo kutoka kwenye mtandao, kugonga mihuri sehemu husika, kusaini fomu, kuambatisha nyaraka zinazohitajika na kuzipakia (upload) kwenye mfumo wa OLAMS kurasa zilizosainiwa namba 2 na 5)
Aidha Waombaji wanapaswa kulipia ada ya maombi ya mkopo ya kiasi cha shilingi elfu thelathini (TZS 30,000) kwa namba ya kumbukumbu ya malipo wanayoipata katika mfumo na kulipia kupitia Benki au kwa mitandao ya simu.
Soma zaidi; HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: dirisha la mkopo 2024/2025, HESBL Jinsi ya Kuomba Mkopo 2024/2025, Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 login, Heslb jinsi ya kuomba mkopo 2024 2025 payment, HESLB login