RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


HESLB Sifa za Waombaji Mikopo 2024/2025

Filed in Ajira, Habari by on 30/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

HESLB Sifa za Waombaji Mikopo 2024/2025

HESLB Sifa za Waombaji Mikopo 2024/2025, Heslb sifa za waombaji mikopo 2024 2025,Heslb sifa za waombaji mikopo 2024 2025 download, Dirisha la mkopo 2024 2025, HESLB Login as Registered user,HESLB news today,Vigezo vya Kupata Mkopo ngazi ya diploma PDF,HESLB OLAMS.

HESLB Sifa za Waombaji Mikopo 2024/2025

HESLB Sifa za Waombaji Mikopo 2024/2025, Heslb sifa za waombaji mikopo 2024 2025,Heslb sifa za waombaji mikopo 2024 2025 download, Dirisha la mkopo 2024 2025, HESLB Login as Registered user,HESLB news today,Vigezo vya Kupata Mkopo ngazi ya diploma PDF,HESLB OLAMS.

  • Awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 35 wakati wa kuombabmkopo;
  • Awe amedahiliwa katika taasisi ya elimu ya juu Tanzania yenye ithibati;
  • Awe ameomba mkopo kupitia mfumo wa maombi ya mkopo (OLAMS);
  • Asiwe na kipato kinachotokana na ajira au mkataba serikalini au sekta
    binafsi;
  • Awe amerejesha angalau asilimia 25 ya fedha za mkopo aliokuwa
    amekopeshwa awali. Hii itawahusu wanafunzi ambao waliacha au kuachishwa masomo;
  • Awe amehitimu elimu ya Kidato cha Sita (ACSEE) au Stashahada
    (Diploma) ndani ya miaka mitano, kati ya mwaka 2020 hadi 2024.

Sifa za Msingi kwa Wanafunzi wanufaika wanaoendelea na masomo (CLB) na wanafunzi wanaoendelea na masomo wanaoomba mkopo kwa mara
ya kwanza (FTCA) Pamoja na sifa zilizotajwa 3.1, HESLB ina vigezo mahususi kwa wanufaika wa mkopo ambao wanaendelea na masomo kwa mwaka wa pili na kuendelea.

Pia, kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao si wanufaika wa mikopo ya HESLB na wangependa kupatiwa mkopo:-

  • Awe amefaulu mitihani kumwezesha kuendelea na mwaka wa masomo unaofuata;
  • Ikiwa anarejea masomoni baada ya kuahirisha, awe amepata barua ya
    kurejea masomoni (resumption letter) kutoka Taasisi ya elimu ya juu anakosoma;
  • Awe ni mnufaika wa mkopo ambaye hajarudia mwaka wa masomo kwa zaidi ya mara moja katika kipindi cha masomo yake;
  • Hatakiwi kuahirisha masomo kwa zaidi ya miaka miwili mfululizo katika kipindi cha masomo yake; na
  • Anatakiwa kuwasilisha Namba ya Utambulisho ya Taifa (NIN) na namba ya usajili kabla ya kuwekewa fedha katika mwaka wa tatu wa masomo kupitia akaunti
    yake binafsi (SIPA).

Soma zaidi HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.