RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Majina 1158 ya Walioitwa kwenye Usaili Misungwi DC August 2024

Filed in Ajira by on 03/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

INEC Majina 1158 ya Walioitwa kwenye Usaili Misungwi DC August 2024

INEC Majina 1158 ya Walioitwa kwenye Usaili Misungwi DC August 2024

INEC Majina 1158 ya Walioitwa kwenye Usaili Misungwi DC August 2024

INEC Majina 1158 ya Walioitwa kwenye Usaili Misungwi DC August 2024,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.

Afisa Mwandikishaji Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi anawataarifu wale wote walioitwa kwenye Usaili wa nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura 2024 kwamba, Usaili utafanyika kuanzia tarehe 05/08-07/08/2024.

Usaili Utafanyika Katika Ukumbi wa Halmshauri ya Wilaya ya Misungwi

Aidha mnajulishwa kuja na Vitambulisho.

  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA,
  • Kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha mkaazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya utambulisho toka serikali ya kijiji/mtaa.
  • Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila msailiwa aje na kalamu nyeusi au buluu kwa ajili ya usaili wa maandishi.

Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa Kwenye PDF hapa chini!

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI MISUNGWI DC AUGUST 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.